Inamonga
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 779
- 474
Habari waungwana..
Mwajiri ameamua kunipangia kazi nyingine tofauti na ile tulio ingia naye mkataba, baada ya kufanya kazi kwa miaka miwili, amesema hajaridhishwa na utendaji wangu....
Hivyo ameamua kunipangia kazi ya kwanza, akaniuliza kama naweza kuifanya, nikamwambia ntaifanya bila shaka.... lengo lake ilikuwa nikatae ili aniambie nimekataa kufanya kazi aliyo nipangia kutokana na nature ya kazi yenyewe aliyo nipa kidogo hadhi yake haiendani na elimu niliyo nayo...
Alivyo ona nimekubali kuifanya, akaamua kuniongeza kazi nyingine tofauti....
Je nihalali mwajiri kukupangia kazi nyingine mbili tofauti na ile mliyo ingia naye mkataba kwa mshahara ule ule.?
Ushauri tafadhali..