N naleas Member Joined Apr 19, 2022 Posts 37 Reaction score 18 Oct 1, 2023 #1 Jaman nna swali et kwa mwanafunzi anae endelea na masomo mwaka wa pili akiwa ana sap ya somo moja anaweza pangiwa mkopo endapo kaomba na alkosa mwaka wa kwanza?
Jaman nna swali et kwa mwanafunzi anae endelea na masomo mwaka wa pili akiwa ana sap ya somo moja anaweza pangiwa mkopo endapo kaomba na alkosa mwaka wa kwanza?
Voice of Tanzania JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 2,036 Reaction score 3,107 Oct 2, 2023 #2 Ehee anaweza pangiwa sio Sapp tu ata awe na carry Cha msingi awe na gpa ya kuendelea na masomo mwaka mpya wa masomo kulingana na kanuni za chuo chake
Ehee anaweza pangiwa sio Sapp tu ata awe na carry Cha msingi awe na gpa ya kuendelea na masomo mwaka mpya wa masomo kulingana na kanuni za chuo chake
N naleas Member Joined Apr 19, 2022 Posts 37 Reaction score 18 Oct 2, 2023 Thread starter #3 Voice of Tanzania said: Ehee anaweza pangiwa sio Sapp tu ata awe na carry Cha msingi awe na gpa ya kuendelea na masomo mwaka mpya wa masomo kulingana na kanuni za chuo chake Click to expand... Ahaaaa kumbe inawekana.....chuo ni udom lakn
Voice of Tanzania said: Ehee anaweza pangiwa sio Sapp tu ata awe na carry Cha msingi awe na gpa ya kuendelea na masomo mwaka mpya wa masomo kulingana na kanuni za chuo chake Click to expand... Ahaaaa kumbe inawekana.....chuo ni udom lakn
Voice of Tanzania JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 2,036 Reaction score 3,107 Oct 2, 2023 #5 naleas said: Ahaaaa kumbe inawekana.....chuo ni udom lakn Click to expand... Yah ainashidah Cha msingi activate account yako ya sipa
naleas said: Ahaaaa kumbe inawekana.....chuo ni udom lakn Click to expand... Yah ainashidah Cha msingi activate account yako ya sipa
N naleas Member Joined Apr 19, 2022 Posts 37 Reaction score 18 Oct 2, 2023 Thread starter #6 Mad Max said: Dah Click to expand... Vp mbna unashangaa mzee
N naleas Member Joined Apr 19, 2022 Posts 37 Reaction score 18 Oct 2, 2023 Thread starter #7 Voice of Tanzania said: Yah ainashidah Cha msingi activate account yako ya sipa Click to expand... Apoo sawa nmeelewa kiongoz asanteh saana
Voice of Tanzania said: Yah ainashidah Cha msingi activate account yako ya sipa Click to expand... Apoo sawa nmeelewa kiongoz asanteh saana