Kupanuka kwa moyo.

Kupanuka kwa moyo.

Kisima

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
4,114
Reaction score
4,486
Habari ndg wanajamvi.
Ninashida tema shida muhimu sana.
Naomba mnisaidie Baba yangu anaumwa moyo.
Alienda aghakan hospital baada ya uchunguzi akagundulika anaugonjwa wa moyo. Na alipewa dozi ya siku kumi kwa matazamio na kama hali ikiendelea basi turudi after iii
Yaani moyo wake umepanuka.
Mpaka sasa my dat yupo ktk hali mbaya sana kitandani tangu november 2010
nahitaji mchango wenu wanajamvi kunisaidia kwa hIlo.
 
Ungeweka kwenye JF Doctor...huku watu wanapeana ushauri jinsi ya kurepair mioyo iliyovunjika!
 
Ningekushauri uonane na ca Consultant cardiologist wa Muhimbili au hapo hapo Aghakan.
 
pole,kama hali ni mbaya na huyo doctor ameshindwa kumtibu kwa nini usijaribu kuwaona wataalam wengine waliobobea zaidi?
 
Pole Kisima...mara nyingi mtu anapokuwa na matatizo ya moyo kupelekea moyo kuwa mkubwa au kutanuka, basi huo moyo huwa unashindwa kufanya kazi 'Heart failure', na mgonjwa anakuwa katika hali mbaya kwani damu haifiki kule inakopaswa kufika. Katika dawa alizopewa ipo 'Digoxin'? Kwani hiyo husaidia moyo unaoshindwa. Na pia dawa za kupunguzia mzigo moyo eg Lasix etc. Kama hapati dawa hizo, basi nashauri nenda kamuone daktari bingwa wa magonjwa ya moyo 'Cardiologist' kwa matibabu zaidi.
 
Pole Kisima...mara nyingi mtu anapokuwa na matatizo ya moyo kupelekea moyo kuwa mkubwa au kutanuka, basi huo moyo huwa unashindwa kufanya kazi 'Heart failure', na mgonjwa anakuwa katika hali mbaya kwani damu haifiki kule inakopaswa kufika. Katika dawa alizopewa ipo 'Digoxin'? Kwani hiyo husaidia moyo unaoshindwa. Na pia dawa za kupunguzia mzigo moyo eg Lasix etc. Kama hapati dawa hizo, basi nashauri nenda kamuone daktari bingwa wa magonjwa ya moyo 'Cardiologist' kwa matibabu zaidi.

Nashukuru kaka Riwa ila mara ya mwisho tulienda hospital kwa cardiologist akampa dawa ambayo alidai atumie kwanza hiyo kutuliza magonjwa mengine madogo(nyemelezi) kutokana na kuchelewa kuanza dozi mapema.
Then after 10 days then we're required to b back and if he shows positive reaction aanze kutumia hiyo dozi kubwa inayoendana na ugonjwa husika.
So if someone in here can assist me in details plz she/he m in need of that support.
 
duuhh pole sana..
sina la kusema kuhusu hili..
lakini nta sali na Mungu atawaonyeshea njia...
 
duuhh pole sana..
sina la kusema kuhusu hili..
lakini nta sali na Mungu atawaonyeshea njia...

Asante Dada Afro na Rose ntashukuru kwa Maombi make ndiyo tiba kuu ninayoitanguliza huku nikisaka matibabu kitaalam.
mungu awabariki sana.
 
Pole sana, Mstakabali wa maisha yetu uko mikononi mwa Mungu pekee.
Namuomba Mungu amponye baba kwa haraka,

Hila za adui zishindwe katika jina la YESU.
 
pole sana kisima,

moyo ukitanuka unategemea kuna dawa na masharti ya mlo hilikuweza ku-control BP yake hiwe kwenye normal rate inaweza kusaidia moyo kurudi kati hali ya kawaida.sema sijui kwamzazi wako umetanuka kihasi kipi manake nashangaa hata kuona hao madaktari wamewapa dawa za kumeza siku 10 tu na kama wamewaeleza vvyakula vya kuzingatia.

kama yuko kitandani basi ni kwamba hali yake mbaya sana ningekushauri mjaribu kumsafirisha nje ya nchi kama mna uwezo au ndugu na jamaa msaidiane kuweza kumsafirisha akapate matibabu haraka sana.india au thailand hospital zao bei nafuu sio mbaya sana.


kuna mtu alipatwa na tatizo kama hilo yeye alienda thailand wakampa dawa za mwaka mmoja na walimtaka afanye mazoezi na kutogusa chumvi kwa mwaka mmoja na vyakula vya wanga.nyama pia walimkataza na pia alitakiwa aangalie BP yake kila siku kuhakikisha hipo chini na kumwambia kwamba ana nafasi kubwa moyo wake kurudi katika hali ya kawaida.


sasa kama nilivyo sema sijui kwa mzazi wako umepanuka kwa ukubwa gani manake inaonekana madaktari hapo wala hawajapa details za kutosha lakini nyie binfasi mnaweza kuzingatia vitu vichache kama kwenye mlo hili mueze ku-control BP yake.


pole sana nakutakia kila la kheri mzazi wako apone haraka na nikipata information zozote nitakuletea.
 
Asante Dada Afro na Rose ntashukuru kwa Maombi make ndiyo tiba kuu ninayoitanguliza huku nikisaka matibabu kitaalam.
mungu awabariki sana.

ur more than welcome sweety
labda u copy na ku pest hii poster kenye JF Doctor... (ka da Lizzy alivyosema)
kuna wataalum sana huko wa mambo haya kuliko hapa MMU...
God Bless....
AD
 
kwan moyo umetanuka saizi gani? ...kama baga?
 
Back
Top Bottom