SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 517
- 1,243
Dawa ni ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pakaa mafuta ya mawese changanya na glycerine kidg muda wa kulala.... Asubui ukiamka pakaa moisturizer na body lotion.... Jion zoez linaendeleaDawa ni ipi? View attachment 2293019
Hali ya hewa kipindi Cha baridi na upepo naonaga maranying ndio huwa hivoHy inasababishwa na nn?
Hio picha Kuna wahuni watapigia nyeto huwez amnNunua hii glycerine changanya na mafuta Yako, isikuchangange picha ni mafuta ya kulainisha ngozi yoyote anapkaView attachment 2293512
😂😂Hio picha Kuna wahuni watapigia nyeto huwez amn
oooh,sawaHali ya hewa kipindi Cha baridi na upepo naonaga maranying ndio huwa hivo
Huyo ni wewe kwenye cover ?Nunua hii glycerine changanya na mafuta Yako, isikuchangange picha ni mafuta ya kulainisha ngozi yoyote anapkaView attachment 2293512
Huyo ni wewe kwenye cover ?
Aha sawaHapana ni box la mafuta hilo