Kupasuka kwa salama kondomu

mtakua mnatumia kwenye ile njia ya mtandao.......under normal circumstance hizi condom ni ngumu sana kupasuka
Mkuu, salama ya sasa inachakachuliwa, aidha kufidia uwekezaji wa matangazo ya biashara au wajanja wanazipiga China kufatia kupanda kwa mauzo kutokana na matangazo ya sasa.

Nimewahi kutumia 'unbranded condom' zinazotolewa bure maofisini, lkn halufu na ukavu viliniboa nikabaki kutumia 'salama'. Recently, baada ya matangazo ya 'salama' kushika kasi nimekuwa nikismell halufu niliyokua nikiichukia ya 'unbranded condoms' kwenye salama na mara mbili zimepasuka; nashukuru mara zote wife amekuwa hayupo danger period!

Nilipoanza kusmell halufu ya zile 'unbranded condoms', ambayo iko concentrated zaidi ya flavor wanazotangaza 'salama' tofauti na zamani, nikaanza kuhisi mchezo mchafu na moja kwa moja nikahisi "we're paying price ya matangazo lukuki kwenye media". Of course, issue ya kupasuka haikunishtua sana kwani nilihisi ulitokana na uvaaji wa haraka. Lakini, kufuatia uzoefu huu toka kwa wadau imefika muda tuchukue hatua maana condom ikipasuka madhala ni makubwa.
 
Usalama upo katika kuikimbia zinaa!

 

haaahaaaaa nunua ile mifukko mweusi mkuu kata usawa wa machineyako funga na barabendi kwa juu ikipasuka hamia CCM
 
Ni kweli usemayo. Ila uki refer post niliyocomment utaona wazi kuwa mdau yeye anahofia kifo zaidi na hivyo inaonyesha yeye ni player just because there is Condom!

Mkuu, si wote wanaotumia condom wanazini!
 
haaahaaaaa nunua ile mifukko mweusi mkuu kata usawa wa machineyako funga na barabendi kwa juu ikipasuka hamia CCM

Mkuu basiasi hapo kwenye red nimecheka sana!!! Huko ndiko mambo ni fekifeki au?
 
sijawahi tumia toka nizaliwe ,ndio sababu nkajimilikisha mapema ili nile kavukavu lol

sasa wapiga kavukavu na yeye akienda nje apiga kavukavu yakheee

Kuoa ushauri wa kitu kwa mwenzio sio lazima utumie waweza kumsaidia mtoto wa radasa la kwanza lakini wewe sio wa darasa la kwanza.
Hata wakati mwingine kumwonyesha mtu njia sio lazima na wewe uwe unaelekea huko.

Washauri labda kama wewe unapinga matumizi ya ko ndomu wape ushauri nao waache.

kama wanatumia na machangu waambie wasitumie machangu tena watulie na wake zao nyumbani.

Likini kuna wengine tunatumia na wake zetu atiii
 
mnatumia za nini ?

kuchezea mpira wanajikinga na mbigili. pia zingene zimetengenezwa kwa kuwekwa upele upele unasaidi kuongeza utamu wakati wa mechi kati ya timu mbili haswa kwa ile timu inayopigwa bao

kuna nyingine zinauzwa na vibrator unaifunga shinani inasaidia kuongeza kustimulate pande zote za wachezaji yaani ni sawa na vuvuzela mpirani
 
Ikipasuka unasikia joto la ajabu, mi huwa ndo nakoleza kabisa aka natembelea lingi
 
Reactions: Atn
Mm ss wife n mjamzito mimba ya mtt wa pili ambayo ckuitegemea maana wa kwanza anaelekea kwenye miaka mitatu na kutoa mimba no no no chanzo hizo condom ter hatarish na nilijua hilo maana naxifahamu thnx kwa elimu ndg ya pcb na kutaka kujua mambo shida ndg ndom imepasuka namwambia mama imepasuka yalaaaa ndio ananishikilia vzur nikaona okay ss mjamzito mwez wa nne napiga tu dry maana navaa ya nn tena.hili likiisha bora tukatafute njia nyingine kondom hazna ubora kabisa
 
Mmmmh!mnazitumiaje mpaka zinapasuka? kwa binadamu au kwa wanyama?
 
ikipasuka lazima utajua tu, me ilinipasukia wakati game linaanza mara 2 siku tofauti bidada hana habari nikabadilisha fasta nikaweka nyingine.
 
Nadhani nyie mnaozitumia ndio mnakosea. Salama ni imara sana. Yawezekana mnatumia na mafuta ya petroleum jelly. Mbaya sana hiyo. Tumieni na mafuta mengine yasiyo jamii ya petroleum kama ikibidi.
 
Nadhani nyie mnaozitumia ndio mnakosea. Salama ni imara sana. Yawezekana mnatumia na mafuta ya petroleum jelly. Mbaya sana hiyo. Tumieni na mafuta mengine yasiyo jamii ya petroleum kama ikibidi.

Ndg mm ctumiag na mafuta yoyote ila ukwel ndio huo ndg znapasuka sana cku hz,zaman ilikua shida size tofaut nyingine ukivaa kama unanyongwa mpira wa juu unavyobana now adays n kupasuka znapasuka haswaaa
 
Licha ya kupasuka hii kero waiangalie vizuri nyingi zinakuwa fupi fupi watoe ndefu kwa warefu na zile fupi kwa wanaojijuwa wafupi.

Extra large yaani (XL),Medium (M) na small (S)
-yaani ukienda pharmas unasema:

Unayehitaji...nipe durex 2
Mhudumu...size ipi?
Unayehitaji...small,au medium

Sio wanatulazimisha size moja hiyo hiyo wote.

Maana ukivaa inajivuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…