Kupata Ajira mpaka utoe Ujira

Kupata Ajira mpaka utoe Ujira

567

Member
Joined
Oct 16, 2024
Posts
15
Reaction score
23
kwema humu?

kwa dunia ya sasa kupata kitu mpaka utoe kitu wazee.

ukihitaji kazi huyo aliekuunganisha kwenye hiyo kazi kama ya mshahara wa laki 2 kwa mwezi basi na yeye utakuwa unamkutia elfu 30 kwa miezi kadhaa yaani game juu ya game !, na wanawake ndo unakuta rushwa ngono inafanyakazi! hapa duniani ni uwanja zambi tu!.
 
ni muda sahihi wa kila mtu kujitengenezea AJIRA yake mwenyewe. tukiendelea kulalamika kila siku haitasaidia kubadili hali ya kiuchumi.
 
Back
Top Bottom