JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 8,191 Reaction score 8,490 Feb 15, 2012 #1 hivi ni sahihi kusema ''mtu amepata ajali'' au ''mtu amepatwa na ajali'' ninatatizwa na hili!
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,922 Reaction score 1,149 Feb 15, 2012 #2 Amepata ndio sahihi, maana kitu kinachoonekana ndio kinaweza kupata. Ajali ni tukio hivyo hilo tukio linampata mtu nasio linapatwa na mtu.
Amepata ndio sahihi, maana kitu kinachoonekana ndio kinaweza kupata. Ajali ni tukio hivyo hilo tukio linampata mtu nasio linapatwa na mtu.