K kitotoro Member Joined Jan 5, 2014 Posts 22 Reaction score 5 Jan 21, 2014 #1 Msaada wana jf tatizo la kupata choo (haja kubwa) husababishwa na nini ? Au choo kuwa kigumu. Ni maji na matunda tu?
Msaada wana jf tatizo la kupata choo (haja kubwa) husababishwa na nini ? Au choo kuwa kigumu. Ni maji na matunda tu?