P PETEROPTIMIST Member Joined Nov 16, 2013 Posts 80 Reaction score 17 Mar 31, 2014 #1 wanajamvi naombeni msaada wenu jinsi ya ku apply chuo kikuu kupitia NACTE. nasikia kuna kulipia unajaza fomu then izo fomu unapeleka wapi, msaada
wanajamvi naombeni msaada wenu jinsi ya ku apply chuo kikuu kupitia NACTE. nasikia kuna kulipia unajaza fomu then izo fomu unapeleka wapi, msaada
B BISHOPSAMY Senior Member Joined Jul 31, 2013 Posts 101 Reaction score 5 Mar 31, 2014 #2 wakitangaza udahili wa TCU na nacte wanakua hapo hapo,ukiingia TCU utakuta category ya NACTE so una apply kwa GPA za diploma,its all about.ada kawaida na TCU
wakitangaza udahili wa TCU na nacte wanakua hapo hapo,ukiingia TCU utakuta category ya NACTE so una apply kwa GPA za diploma,its all about.ada kawaida na TCU