Sulayman Sangida
Member
- Feb 5, 2018
- 91
- 51
Ivi wakuu ili kupata followers wengi humu JF unafanyaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi = hiviIvi wakuu ili kupata followers wengi humu JF unafanyaje?
wewe na ujanja wako naona followers 0Ivi = hivi
Ukiacha huo ujinga unaweza ukapata
Mimi sikuja jf kutafuta followers kama wewewewe na ujanja wako naona followers 0
sasa pita na mpito wako sio kujiongeleshaMimi sikuja jf kutafuta followers kama wewe
Ukiweka uzi ni wa wote.sasa pita na mpito wako sio kujiongelesha
Sawa endelea kuandika ujiskiavyoUkiweka uzi ni wa wote.
Ungekuwa umewalenga baadhi ya member ungewatag au ungespecify kabisa kwamba nani achangie na nani asichangie.
Bila hivyo nachangia ninavyojisikia..
Hivi form 4 bado hamjaenda shule tu??
Ujiskiavyo = ujisikiavyo (hizo shule ulisomea ujinga??)Sawa endelea kuandika ujiskiavyo
Aaaah kumbe weye una matatizo ya ubongo unazani kila mtu aandike utakavyo hatuko kwa mitihani hapa kama wewe mwalimu endelea kuwafahamisha wanafunzi wako ili wapate kufahamu, pia kumbuka humu watu wapo wa kutoka jinsi mbalimbali usizani kila mtu kasoma lugha yakoUjiskiavyo = ujisikiavyo (hizo shule ulisomea ujinga??)
Hahahaa hao watu wa kutoka "jinsi mbalimbali" ndio watu gani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Aaaah kumbe weye una matatizo ya ubongo unazani kila mtu aandike utakavyo hatuko kwa mitihani hapa kama wewe mwalimu endelea kuwafahamisha wanafunzi wako ili wapate kufahamu, pia kumbuka humu watu wapo wa kutoka jinsi mbalimbali usizani kila mtu kasoma lugha yako
[emoji16] [emoji16] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ivi = hivi
Ukiacha huo ujinga unaweza ukapata
hahaaaaIvi = hivi
Ukiacha huo ujinga unaweza ukapata