Kupata gas, nini shida yake

Kupata gas, nini shida yake

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
1,222
Reaction score
776
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kukosa punzi na kifua kubana kiasi fulani, hii huwa inanitokea mara nyingi kama jana yake nimekunywa pombe. I have been to several hospitals inside and outside the country but I have never been diagnosed properly. Imeshanitokea sana na wakati mwingine huwa nawekewa mpaka oxygen. Leo nimekutana na rafiki yangu akasema na yeye pia ameshawahi kupata hiyo shida na baadae madokta wa Kigali waligundua ni gas inajaa.

Je nataka kufahamu Gas huwa inasababishwa na nini? Na je ni kweli gas inaweza ikakusababishia shida kama hii.

Please nifungueni masikio
 
Back
Top Bottom