nawasalimu wana jf wenzangu.ninaswali linalonitataza,kuna kijana anaitwa joji a.k.a panga la shaba[kaniruhusu kuandika haya]anakula chakula kila siku ila baada ya wiki moja na siku moja ndipo anahisi aja kubwa na akijamba tu kuhisi aja kubwa inapotea.je anatatizo gani,ushauri wenu wanajf ni muhimu kwa jamaa yetu.,.
Ahahaaa fala weweHa ha ha ha ha ha ha
Mkuu huyo ni self container anakunya humo humo tumboni
kama wewe au sio ?Ahahaaa fala wewe
Nawasalimu wanajf wenzangu,
Nina swali linalonitataza,kuna kijana anaitwa joji a.k.a panga la shaba [kaniruhusu kuandika haya] anakula chakula kila siku ila baada ya wiki moja na siku moja ndipo anahisi haja kubwa na akijamba tu kuhisi haja kubwa inapotea.
Je, ana tatizo gani,ushauri wenu wanajf ni muhimu kwa jamaa yetu.

mkuu mwambie ale papai kila siku tiba tosha huo ni ugonjwa
Ahahaaa fala wewe