Z zipalapwata JF-Expert Member Joined Oct 19, 2016 Posts 290 Reaction score 156 Feb 12, 2017 #1 Ningependa kufahamu msichana kupitiliza hedhi kwa mda mrefu na kiuno kuuma sana na maziwa kuuma kujaaa ni dalili ya nn naomben ushauri wadau
Ningependa kufahamu msichana kupitiliza hedhi kwa mda mrefu na kiuno kuuma sana na maziwa kuuma kujaaa ni dalili ya nn naomben ushauri wadau
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Feb 12, 2017 #2 Mimba