EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
"Wachambuzi", watangazaji na "wasemaji" wa timu za kitanzania.
Utawasikia " tumepata matokeo" wakimaanisha USHINDI.
Hivi ndio.ukweli?
Mi nnachojua matokeo mi both +ve and -ve
Wafundisheni hawa watu wenu
Utawasikia " tumepata matokeo" wakimaanisha USHINDI.
Hivi ndio.ukweli?
Mi nnachojua matokeo mi both +ve and -ve
Wafundisheni hawa watu wenu