Kupata mchumba hapa am serious

Watu na vigezo vyenu mnaitwa..ila nawewe mbaguzi khaa..na kabila tena..
 
Mkuu leo najiandaa kwenda kwenye festival hapa Odessa

COMING SOON: ODESSA CLASSICS MUSIC FESTIVAL

The Odessa Classics music festival in June aims to promote Ukraine internationally while highlighting Odesa's credentials as one of the classical music capitals of Eastern Europe. The iconic allure of Odesa is a crucial factor in attracting international stars to participate in the festival, says organizer Alexey Botvinov: “If I’d come to many of the musicians with a proposal to perform in Kyiv, there is a good chance that they would have said “thanks, but unfortunately I am busy.” When the invitation is for Odesa, people are more inclined to make room in their schedules.”
 
Mambo ni motoo
 
Ila wahaya jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa Unataka mke au karani?
 
Umewapa vigezo utadhani CV ya kuomba ajira....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Alafu mkuu, kwenye zile threads zako zingine uliandika kwa kiswahili fasaha na mujarab kabisa.....
Lakini huu uzi wa leo, naona unakoseakosea kuandika kiswahili fasaha, au kwakua tayari umesha fika huko Ukraine..... tehteehhh
 
Mhaya hajawahi kuacha ujivuni salama....
Mzee upo ukraine unapata dola 1,000/= siku ukifika dola 15,000/= si utaweka mpaka awe na kigezo cha ubunge au waziri?
 
Alafu mkuu, kwenye zile threads zako zingine uliandika kwa kiswahili fasaha na mujarab kabisa.....
Lakini huu uzi wa leo, naona unakoseakosea kuandika kiswahili fasaha, au kwakua tayari umesha fika huko Ukraine..... tehteehhh
Jamaa we umanichekesha jamaa kashakuwa m Ukraine teh teh
 
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…