Kupata mimba kwa style hii Inawezekana?

Freeman Patrick

Senior Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
132
Reaction score
13
Je, msichana anaweza pata mimba akifanya mapenzi siku 1 kabla ya bleeding au wakati wa bleeding? Mchango wenu tafadhali..
 
Siyo mtalaam sana lakini from my elementary biology (in particular reproduction section)siku 1 kabla ya kuanza bleeding siyo rahisi kupata mimba. Hata hivyo nashaangaa namna gani mtu unaweza kufanya sex wakati wa bleeding!! au ulimanisha baada tu ya bleeding?
 
Tnx keen, actually swali lilikuwa 1 day before bleeding, hiyo during bleeding nimeongezea tu ili nijue zaidi.
 
Kitaalam .... haiwezekani .... lakini knachoweza kutokea ni kwamba mwanamke anaweza kufanya ngono wakati wa hedhi na sperms zikaendelea kuishi ndani yake hadi siku 5-7. Halafu anaweza ovulate mara tu baada ya hedhi (ambayo hutokea kwa baadhi ya wanawake wenye mizunguko ya isiyo ya kawaida[irregular cycles]) na yai (ovum) litarutubishwa na sperm ambayo tayari ilishakuwa ndani ya mwili wa mwanamke ikisubiri yai (ovum). Sperm hizo zilishakuwa ndani wakati alipofanya ndono huku akiwa katika hedhi.


Natumaini kwamba maelezo hayo yamesaidia kuelezea ni kwanini baadhi ya wanawake wanafikiria kuwa wanapata/wamepata mimba wakati wa hedhi......Haitatokea katika kipindi hicho..... mimba inatungwa mara tu baada ya kumaliza hedhi. Wanawake wengi wanapata ovulation (yai hupevuka) siku ya 14 - 19 (depending with the length of the cycle) lakini baadhi ya wanawake (haswa wenye siku zinazobadilika [irregular cycles]) wanaweza ku-ovulate mara tu baada ya hedhi.
 
Kwa wale wenye mzunguko mfupi yaani siku 15 anaweza kupata.
 
asanteni sana kwa somo jf doctors na wataalamu wengine pamoja na mleta swali
mimi pia nimejifunza nilichokuwa sikijui...MBARIKIWE SANA
 
"wanaweza ku-ovulate mara tu baada ya hedhi."

From Wikipedia, the free encyclopedia


Ovulation is the phase of a female's menstrual cycle in which a mature egg is released from the ovarian follicles into the oviduct.[SUP][1][/SUP] After ovulation, during the luteal phase, the egg will be available to be fertilized by sperm. Concomitantly, the lining of the uterus (the endometrium) is thickened to be able to receive a fertilized egg. If no conception occurs, the uterine lining as well as blood will be shed during menstruation.[SUP][2][/SUP]

Naomba ufafanuzi sijaelewa unaposema ku-ovulate, tofauti na hapa kwa Wikipedia
 
Na mwenye mzunguko wa siku 28 je?
 
Ahsante mkuu, nazidi kupanua mawazo yangu.
Tafauti na kupanua mawazo yako unapaswa kukubali kuwa uyo binti uliyetembea naye siku moja kabla ya hedhi ni sahihi ana mimba yako.
Msiitoe iyo mimba tafathali, uyo ni malaika wa mungu.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ha ha ha... Paradiso, ni swali tu nimeuliza kutokana na mabishano yaliyokuwa yanaendelea huku, it has nothing to do with my personal life.
 
da nazidi kusaidiwa mawazo, maana hapa nimecheza game hlf nahisi kitu kimenasa, (bado sijaoa ila nilikuwa naonja) nikamshauri aende kucheki eti wakamwambia kuwa asubiri apitishe siku za kubread ndo aende pima, je kwa wataalamu mimba huonekana kipindi gn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…