Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahis ungeuliza kwamba je inawezekana MTU akawa mjamzito na still akaendelea kupata hedhi? Jibu ni hapana.....Na ikitokea basi ni abonomality ....kuna tatizo mahali au pengine haikuwa mimbaHabari, naomba kuliza hivi inawezekana mwanamke akaingia hedhi na still bdo akawa ana mimba hasa kwa wiki za mwanzo??
How & why !!!?Inawezekana, tena hata kupata hadi anajifungua.
How & why !!!?
Zote ulizozitaja ni abnormalities ....under normal circumstance it's impossible to occurWengine ni ishara ya mimba kutaka kutoka na wengine ni mwili wa mtu ulivyo ndani.
Wengine uendelea kupata na kuishia katikati, inakuwa damu iloyo nje ya fuko alilo kiumbe cha Mola.
Mengine waliosomea udaktari watajua kiundani labda sababu unazotaka kujua.
Ila ni muhimu sana sana kukimbilia hospitali mwanamke mwenye mimba anapoona damu inatoka, kuangaliwa kuwa kizazi hakitaki kufunguka kuachia mimba au pako vizuri na salama.
Una uhakika gan kama ni hedhi?Habari, naomba kuliza hivi inawezekana mwanamke akaingia hedhi na still bdo akawa ana mimba hasa kwa wiki za mwanzo??
Zote ulizozitaja ni abnormalities ....under normal circumstance it's impossible to occur
Umemjibu vizuri sanaKama unayajua unaona uvivu wa nini kumwandikia mleta mada?