Mtu Poa 2013
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 105
- 65
Nahitaji kupata mkopo wa sh 50,000 nifanyie jambo la msingi. Nataka kuweka rehani printer yangu yenye thamani ya sh 70,000 ambayo tokea nimeinunua game supermarket ina miezi miwili na wino upo. Ntampataje mtu au institution wanaoweza kunipa kiasi hicho cha pesa na kuichukua printer yangu? risiti ipo na cd yake.