Nawauliza wadau, kupata mkopo kwa Title Deed yako, lakini unatumia kampuni ya jamaa zako wa karibu...
Wenzangu wana kampuni iliyosajiliwa, wanafanya kazi vizuri tu, nataka kuwapa Title Deed yangu, ili tuchukuwe mkopo, tushakubaliana % nitakayowapa, malipo nafanya mimi sababu hati yangu..
Maswali..
Hili lawezekana?
Athari zake ni nini?
Kuna haja ya kushinikiza kuwa mmoja wa Shareholders?
Itafunguliwa akaunti mpya?
Wanaojuwa wamwage point zao tufaidike tusiunguwe..