King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kama monthly income yako ni kuanzia mil. 4 kwenda juu unaweza kupata, but you need to have an account with Barclays first.
Heshima kwenu JF,
Kuna tangazo huwa nalisikia redioni la demu anamwambia mwanamme kama anataka awe na yeye basi akakope barclays anunue gari,nyumba na vitu vya ndani! Huo mkopo unafika hadi mil50,Sasa kwa mtu ambaye anajua utaratibu au ashachukua huo mkopo wa mil50 atujuze requirements ili nione kama I'm eligible nikachukue!
Shukrani.
sasa sisi ma bank taller! huo mshahara wa mil4 twautoa wapi! duh! haya huo ni mkopo wa mafisadi na wenye kazi zao! embu mwangalie mwalimu hapa,doctor hapa,mlinzi hapa,polisi jamii na polisi wale wasio na akili, je watapata mkopo kweli hapa? bado sisi wafanyabiashara wadogo wadogo.
king kong eeeh! huu mkopo hatuhusu bana
makundi hayo uliyotaja yanaweza kupata mkopo kuanzia 2.5 mil mpaka 10 mil. Kwa madaktari wapo wanaopata 4 mil, hao wanaweza kuchukua mil. 50.
dah! sas m2.5 jamani! kwa jiji hili,si nauli ya bajaji hiyo, daah! poa mimi ntakuja kukopa 2.5, vipi mukuu! uko barclays
nini?
Aisee umenichekesha sana. Ndio maisha mkuu, polepole ndio mwendo, hata vidole havilingani.
by the way, siko Barclays ila kama unahitaji mkopo naweza kukuconnect na watu wakakusaidia and of course sio kukusaidia ni kusaidiana kwa sababu mkopo ni bidhaa na mkopaji ni mteja.
hapana mkuu marcopolo kuna details haziko sahihi, huo mkopo unaweza lipa hadi kwa miaka 6, ni lipato prefered ni kuanzia 1 million and not 4 million
hapana mkuu marcopolo kuna details haziko sahihi, huo mkopo unaweza lipa hadi kwa miaka 6, ni lipato prefered ni kuanzia 1 million and not 4 million
Hata mie nimesikia radio kwamba unatakiwa uwe na salary ya milion 1 na unalipa for 6 years pia bima ya mkopo ni ya barclays wenyewe nadhani kipindi cha powerbreakfast ya clouds fm mara nyingi Barclays tangazo lao huwa linasikika kama wadhamini hivyo unaweza sikiliza kesho asubuhi kama utapata muda kujua detail
Heshima kwenu JF,
Kuna tangazo huwa nalisikia redioni la demu anamwambia mwanamme kama anataka awe na yeye basi akakope barclays anunue gari,nyumba na vitu vya ndani! Huo mkopo unafika hadi mil50,Sasa kwa mtu ambaye anajua utaratibu au ashachukua huo mkopo wa mil50 atujuze requirements ili nione kama I'm eligible nikachukue!
Shukrani.
makundi hayo uliyotaja yanaweza kupata mkopo kuanzia 2.5 mil mpaka 10 mil. Kwa madaktari wapo wanaopata 4 mil, hao wanaweza kuchukua mil. 50.
Try to brakdown mil 50 into monthly installments for 6 years plus interest, utagundua kuwa mshahara wa mil. 1 haukopesheki mil. 50.
Try to brakdown mil 50 into monthly installments for 6 years plus interest, utagundua kuwa mshahara wa mil. 1 haukopesheki mil. 50.