Kupata mkopo online kwa kutumia simu

Kupata mkopo online kwa kutumia simu

Joined
Aug 31, 2017
Posts
27
Reaction score
33
Habari zenu wadau.

Kama kuna watu wamewahi chukua mkopo online kwa kutumia simu watujuze maana siku hizi matapeli wengi. Kama kuna taasisi za kuaminika kwa njia hiyo mtupe ujuzi.
 
Hao nawapata,japo mikopo yao midogo midogo. Hakuna wanaokopesha kuanzia laki?
Lakimoja out of blue ukopeshwe mtandaoni hakuna kitu kama hiko.

Kukopeshwa mtandoni risk ndio maana wakina Branch wanaanza na 5000 na wanaopotea na hizo 5000 wengi sana imagine wakopeshe 100K mkopo wa kwanza.
 
branch wananisubirisha tu kuhusu mkopo nyie imechukua muda gan kutoa mkopo?
 
Back
Top Bottom