Vedasto Leopold Member Joined Aug 31, 2017 Posts 27 Reaction score 33 Nov 27, 2021 #1 Habari zenu wadau. Kama kuna watu wamewahi chukua mkopo online kwa kutumia simu watujuze maana siku hizi matapeli wengi. Kama kuna taasisi za kuaminika kwa njia hiyo mtupe ujuzi.
Habari zenu wadau. Kama kuna watu wamewahi chukua mkopo online kwa kutumia simu watujuze maana siku hizi matapeli wengi. Kama kuna taasisi za kuaminika kwa njia hiyo mtupe ujuzi.
Vedasto Leopold Member Joined Aug 31, 2017 Posts 27 Reaction score 33 Nov 28, 2021 Thread starter #2 trey007 said: Branch Click to expand... Hao nawapata,japo mikopo yao midogo midogo. Hakuna wanaokopesha kuanzia laki?
trey007 said: Branch Click to expand... Hao nawapata,japo mikopo yao midogo midogo. Hakuna wanaokopesha kuanzia laki?
I ipulunganya Senior Member Joined Apr 18, 2021 Posts 115 Reaction score 119 Nov 28, 2021 #3 L pesa,M pawa ,Nivushe
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 28, 2021 #4 Ngoja waje kukupa muongozo...
Black Bolt JF-Expert Member Joined Jun 5, 2021 Posts 257 Reaction score 417 Nov 29, 2021 #5 Vedasto Leopold said: Hao nawapata,japo mikopo yao midogo midogo. Hakuna wanaokopesha kuanzia laki? Click to expand... Lakimoja out of blue ukopeshwe mtandaoni hakuna kitu kama hiko. Kukopeshwa mtandoni risk ndio maana wakina Branch wanaanza na 5000 na wanaopotea na hizo 5000 wengi sana imagine wakopeshe 100K mkopo wa kwanza.
Vedasto Leopold said: Hao nawapata,japo mikopo yao midogo midogo. Hakuna wanaokopesha kuanzia laki? Click to expand... Lakimoja out of blue ukopeshwe mtandaoni hakuna kitu kama hiko. Kukopeshwa mtandoni risk ndio maana wakina Branch wanaanza na 5000 na wanaopotea na hizo 5000 wengi sana imagine wakopeshe 100K mkopo wa kwanza.
tzniceguy Senior Member Joined Jul 7, 2019 Posts 121 Reaction score 72 Dec 3, 2021 #6 branch wananisubirisha tu kuhusu mkopo nyie imechukua muda gan kutoa mkopo?
Chura JF-Expert Member Joined Sep 22, 2009 Posts 1,385 Reaction score 2,402 Dec 3, 2021 #7 tzniceguy said: branch wananisubirisha tu kuhusu mkopo nyie imechukua muda gan kutoa mkopo? Click to expand... Nilichukua siku hiyo hiyo na walianza na 20 nikapanda hadi laki nne nikala kona.
tzniceguy said: branch wananisubirisha tu kuhusu mkopo nyie imechukua muda gan kutoa mkopo? Click to expand... Nilichukua siku hiyo hiyo na walianza na 20 nikapanda hadi laki nne nikala kona.
K Kiddoleey New Member Joined Apr 17, 2021 Posts 3 Reaction score 2 Dec 4, 2021 #8 Mimi nilijikopesha elf 20 nilipolipa mpaka sasa nimezuiliwa