kivurumula Member Joined Jun 1, 2022 Posts 45 Reaction score 47 Mar 1, 2023 #1 Bandugu kama kichwa Cha juu kinavyojieleza nilitaka kufahamu mikopo ya halmashauri kwa ajiri ya vijana kujikwamua katika wimbi la ajira na umasikini. Vipi ni nani aliewahi pata mkopo na taratibu zikoje Wasalam
Bandugu kama kichwa Cha juu kinavyojieleza nilitaka kufahamu mikopo ya halmashauri kwa ajiri ya vijana kujikwamua katika wimbi la ajira na umasikini. Vipi ni nani aliewahi pata mkopo na taratibu zikoje Wasalam