Hata hivyo mkuu kuna benki zinazo tambua hiyo biashara kama vile Akiba commercial Bank. Benki zote zinazo kopesha kununua au kujenga nyumba zitatoa mkopo wa ukarabati pia. Ikishindikana benki basi ndio ujaribu watu binafsi na uwe tayari kutoa riba zaidi.