kupata monthly report on efd

laun

Senior Member
Joined
Sep 5, 2011
Posts
111
Reaction score
26
naomba msaada jinsi ya kutoa monthly report on efd mashine ninayotumia ni custom za retailers zinazosambazwa na bmtl,
Bahati mbaya supplier hajatoa user manual wala ushirikiano wa kutosha katika kupata hiyo monthly report ambayo itanisaidia kureduce painstaking work of preparing returns monthly kwa kuangalia report on daily basis.
The daily reports zinaweza saidia kucheck compliance . Naomba msaada
 
laun,watakuja wataalamu wa2elekeze zaidi..ila unaweza pia kutafuta difference kati ya closing balance ya mwsho wa mwez na opening balance uloanza nayo!then unapata monthly sales... it depends km io figure ni inclusive au exclusive!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…