H.M.MUYANGO
Senior Member
- Mar 6, 2014
- 110
- 9
mimi si lawyer ila nina uzoefu wa kuandaa hizo kazi na kisha nawapa wanasheria wangu kazi ya mihuri .Articles ninazo tayari, ila object clause,capital+share clause.etc nitaandaa baada ya kukusikiliza wewe unataka iweje,waweza pia pitia profile yangu uone feedback niliyotoa kwa kazi nilizofanya na baadhi ya jf members,ukiridhika nipigie kwa 0712742233Napenda kujua na gharama zake pia nijue na namna ya kumpata huyo lawyer na utaratibu wake upoje maana nature ya kampuni ninayotaka kuianzisha ni partnership members.
maloya wengi sana wapo humu. utafanikiwa.Napenda kujua na gharama zake pia nijue na namna ya kumpata huyo lawyer na utaratibu wake upoje maana nature ya kampuni ninayotaka kuianzisha ni partnership members.
maloya wengi sana wapo humu. utafanikiwa.
All the best kwenye hiyo kampuni yako