KUPATA MTOTO NA MUATHIRIKA WA UKIMWI BILA KUAMBUKIZWA

KUPATA MTOTO NA MUATHIRIKA WA UKIMWI BILA KUAMBUKIZWA

Chris Brain

Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
5
Reaction score
4
Waheshimiwa Leo Naomba mnielekeze Ni njia gani ya kuweza kupata Mtoto na Mtu ambay tayarii Amesha ambukizwa Virus vya UKIMWI..!!? Bila kutumia njia ya KUPANDIKIZWA MBEGU...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmhhhhh!
Unapataje ujasiri wa kufanya kabisa na mtu unajua kabisa ni muathirika?? Mahaba niue, dah!!
Ngoja waje wataalam, watakujuza!!
 
Wewe Barafuyamoto,mfano nimefanya mapenzi kwa mda tena bila kinga na mpenzi wangu, mwishoni tukaenda kupima, mpenzi ana vvu mimi sina nitamuacha? Mungu kaniepusha mda wote si ataendekea kunilinda? Nitaendekea nae nikichukua tahadhari ya maambukizo kwa watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom