Waheshimiwa Leo Naomba mnielekeze Ni njia gani ya kuweza kupata Mtoto na Mtu ambay tayarii Amesha ambukizwa Virus vya UKIMWI..!!? Bila kutumia njia ya KUPANDIKIZWA MBEGU...
Wewe Barafuyamoto,mfano nimefanya mapenzi kwa mda tena bila kinga na mpenzi wangu, mwishoni tukaenda kupima, mpenzi ana vvu mimi sina nitamuacha? Mungu kaniepusha mda wote si ataendekea kunilinda? Nitaendekea nae nikichukua tahadhari ya maambukizo kwa watoto