Tafadhali mwenye uwezo wa kunisaidia kumpata mwizi aliyetapeli hela. Yupo hapa Dar na namba yake ya simu na IMEI ya simu yake ninayo. Inaonekana anapatikana maeneo ya Mwananyamala.
Brooo unakaribia kuibiwa na kutapeliwa tena. Kuna polisi wanaoshughulika na ciber crime huwa wanakuambia utoe hata 30k ya nauli, na wakiwapata hao wahusika wanamalizana juu kwa juu.
Hizi wizi zinashamiri kwa sababu ya mzunguko wa njia ya kupitia. Unapaswa ulipoti polisi ili upatiwe Loss report, baadae iende kwenye mtandao wako wa simu ili upate printed taarifa za simu yako.
Hapo urudi tena polisi ili kuwathibitishia kwamba uliibiwa. Huko ktk mtandao kuprint taarifa ndio utasikia Mara njoo kesho au tunakutumia kwa email full longolongo.