Bora anaekutukana afu anaenda zake, manake kama mwanamke unajitambua hakusumbui, huhitaji kuambiwa juu ya ulivyo especially na mtu ambae hahusiki vyovyote na wewe!
Kuna wale ving'ang'anizi! Yaani umeshamuambia hapana, haiwezekani! Kila siku anakuja na swali 'nifanyeje ama niweje ili unipende???'. Halafu ana majibu yake ya kuchagua sababu za kutopendwa:
Au familia yangu maskini
Au vile sina hela unanidharau
Au elimu yangu
Au navaa kishamba?
Wanachosha sana! Bora akuponde, afu umcheke kimoyomoyo na mkikutana akae mbali na wewe.
Mwenzenu mimi huwa sijui kutongoza kwahiyo hata vibuti kupigwa sio rahisi, yaani sikumbuki kuwahi kutongoza teh teh teh :lol:
unasogezewa???
Bora anaekutukana afu anaenda zake, manake kama mwanamke unajitambua hakusumbui, huhitaji kuambiwa juu ya ulivyo especially na mtu ambae hahusiki vyovyote na wewe!
Kuna wale ving'ang'anizi! Yaani umeshamuambia hapana, haiwezekani! Kila siku anakuja na swali 'nifanyeje ama niweje ili unipende???'. Halafu ana majibu yake ya kuchagua sababu za kutopendwa:
Au familia yangu maskini
Au vile sina hela unanidharau
Au elimu yangu
Au navaa kishamba?
Wanachosha sana! Bora akuponde, afu umcheke kimoyomoyo na mkikutana akae mbali na wewe.
Yeahh hiyo nayo inahusu sana.Kwa karne hii, na upande wa pili pia unahusika.
Mwanamke anamtaka mwanamme, kisha akikataliwa unakuta anaanza kashfa, "oooh si rizki", "Ohh si mwanamme kamili", "ooooh kalishwa libwata" , "Ooh kafulia"......
Kama ambavyo kuna kuanza kupenda ndivyo ambavyo kuna kuacha kupenda. Pengine baada ya kuwa na wewe kwa muda mrefu aligundua hukidhi vigezo wala mahitaji yake. Badala ya kumchukia jaribu kumuuliza kilichobadilika ili kama ni kosa ulofanya usije ukalirudia kwa mwingine. Hayo ndio maisha. . .Lizzy nisahidie hapa coz imefikia mahali naona wanawake kama mashetani waliopo duniani.unakuta mwanamke nishajua nampenda natafuta number yake hapo atujazoeana ghafla tunaanza dating stage,appointment/outing zangu zinakubalika anapokuwa around akiwa mbali mawasiliano ni mazuri.in/out anajua nampenda nayeye anakiri anatambua hilo after stay a year ninawambia will u merry mi anakubali after 2day.anakuuliza iv unanichukulia je? Ghafla mawasiliano yanaanza kupungua anitafuti hadi mimi nianze.mwanaume nakubali kutoswa lolote na liwe.nampgia simu kutaka msimamo wake au kama kashapata mwanaume mwingne aniambie.UNAJIBIWA SIKUTAKI.kama mwanaume sina imani dhabiti katika dini mwanamke kama huyu unaweza mmwagia maji ya betri kwenye naniliu yake vipand vya chupa.kama unipendi nipotezee frm the begn that z best nitakuelewa wanaume wengne sio ruba 2naachia faster kukuvua chup akutanfanya nikubembelez au pesa aztanifanya nirudi nyuma.
inaudhi sana unapomwambia mtu sikutaki anakung'ang'ania, au anaporomosha matusi, na usiombe kutongozwa na visharobaro utamkatalia lakini ataenda kijiweni kutangaza kuwa anakuchukua.
inaudhi sana......
na inaudhi zaidi anapoenda kuongea maneno ya kashfa dhidi yako kwa vile tu umemkatalia
aaaarggh
Nafikiri pia namna unayomuambia mtu ina determine reaction yake....kuna wadada/wakaka wana lugha za kejeli sana....kama una sababu za kutokukubali ombi la fulani,basi fanya hivyo kwa heshima na busara...wengine hadi kijiji kijue alimkataa fulani,au unaanza mkosoa as if yeye hastahili kuwa na mtu kama wewe....Heshima kitu kizuri sana,hakuna duniani anayependa kukataliwa,so lets do it kindly,kama ambavyo ungependa wewe ufanyiwe....ushauri mzuri dearest!
hilo nalo neno. ila kwa nini mtu asisubiri hadi muda ufike achumbie kabisa/ aoe?Mimi huwa situmii mbinu ya kuanza ku express mapenzi yangu kwa mtu. Huwa natengeneza mahusiano tu ya kawaida kuanza kumsoma taratibu kwa vi date na second date tu ushajua huyu anaelekea au haelekei.
Mambo ya kuanza kumwambia ghafla ghafla mtu kwamba roho imedondokea ndio hayo watu wanaishia kuwa humiliated.
Ni sehemu ya tiba, anajikanda moyoLizzy; Kwani namtukana nayeye anasikia...mimi namtukana kimya kimya hata hajui kama nimemtukana na wala hatasikia ....Sisi tunaita technology mpya za matus....Yani data za matusi ( dirty data) tuna baki nazo wenyewe.... :biggrin:
Kwahiyo ukishantukana kimya kimya unapata unafuu?
...lol...hayo ndio maneno niliyoyasoma dogo Almasi akilalama kuhusu mlimbwende "Goodness"...
kukataliwa/kuachwa kunauma, ...unahitaji uwe na moyo wa chuma kama mbu hapa ninavyojifariji na "...likuepukalo lina heri nawe!"
Hahahahha!
Hao wanaowahigi kutangaza wao ndio wamaecha/badili mawazo/wamemuona binti hafai wakampotezea au hata wameshapata walichotaka ndio wabaya sasa. Maana akitokea mtu akasema "Sio kweli" basi binti wa watu atashushiwa mvua ya matusi weeee!!
Kwa karne hii, na upande wa pili pia unahusika.
Mwanamke anamtaka mwanamme, kisha akikataliwa unakuta anaanza kashfa, "oooh si rizki", "Ohh si mwanamme kamili", "ooooh kalishwa libwata" , "Ooh kafulia"......
Mimi huwa situmii mbinu ya kuanza ku express mapenzi yangu kwa mtu. Huwa natengeneza mahusiano tu ya kawaida kuanza kumsoma taratibu kwa vi date na second date tu ushajua huyu anaelekea au haelekei.
Mambo ya kuanza kumwambia ghafla ghafla mtu kwamba roho imedondokea ndio hayo watu wanaishia kuwa humiliated.
eheeKama ambavyo kuna kuanza kupenda ndivyo ambavyo kuna kuacha kupenda. Pengine baada ya kuwa na wewe kwa muda mrefu aligundua hukidhi vigezo wala mahitaji yake. Badala ya kumchukia jaribu kumuuliza kilichobadilika ili kama ni kosa ulofanya usije ukalirudia kwa mwingine. Hayo ndio maisha. . .