Yeah ni kweli anaweza kupata O'level certificate kwa miaka miwili tu but mpaka afaulu mitihani ya QT (Qualifying Test).
Thanx suzzie;
Hivyo unamaanisha huruhusiwi ku-do Form four national exams mpaka u-pass kwanza QT, au unamaanisha ukisha-pass QT ndo utakua tayari una O'level certificate..???
Hapana, ila hapo anakuwa na sifa ya kuendelea na masomo ya kidato cha 3 & 4, na masomo hayo yanachukua muda wa mwaka 1