Mimi nasoma chuo Mtwara lkn home ni Mwanzo,tatizo langu kl ninasafiri lzm nipate period,hata km si trh rasmi.Je hali hii husababishwa na nini?Pia hunichosha sana km kn dawa wadau nishaurini,hata ninapokuwa period huwa nakabiliwa na maumivu makali nakosa hamu ya chakula. Kama kuna dawa au ushauri ili niweze kukabili maumivu haja natanguliza shukrani tele!
Mimi nasoma chuo Mtwara lkn home ni Mwanzo,tatizo langu kl ninasafiri lzm nipate period,hata km si trh rasmi.Je hali hii husababishwa na nini?Pia hunichosha sana km kn dawa wadau nishaurini,hata ninapokuwa period huwa
nakabiliwa na maumivu makali nakosa hamu
ya chakula. Kama kuna dawa au ushauri ili
niweze kukabili maumivu haja natanguliza
shukrani tele!