Unafanyeji ku-print hiyo certificate kwenye mtandaoKila kitu unamaliza mtandaoni mkuu
Kama utahitaji cheti original lazma uende TRA ila kama utahitaji nakala ya cheti(online copy) utadownload mtandaoni then uende uprintWakuu naomba kuuliza ,ikiwa mtu tayari unayo TIN ili kupata kile cheti cha TIN mpaka uende physcally TRA? Kama ndiyo mbona TRA wanajipa usumbufu wa bure.kwa nini wasiweke utaratibu kwamba mtu mwenye namba ya mlipa kodi anaweza pata cheti chake kwenye mtandao.
Kama upo huo utaratibu wa kupata cheti cha TIN kwa njia ya mtandao naomba kujuzwa tafadhali.
NB:Ni cheti cha TIN siyo namba ya TIN
Siyo kweli,Mimi nilienda TRA Kibaha wakanambia kupata cheti lazima Kuna form fulan unajaza ,wakishaupdate taarifa zako unahakiki ndo wanakuprintia cheti cha TIN number.Hizo form walinipa ila Kuna wezi fulan waliziiba.Kila kitu unamaliza mtandaoni mkuu
Yes,inatakiwa copy . sasa naingiaje kupata hiyo copy?Kama utahitaji cheti original lazma uende TRA ila kama utahitaji nakala ya cheti(online copy) utadownload mtandaoni then uende uprint
Ni hayo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe utaratibu mkuuMtandaoni unapata kila kitu
Tupe utaratibu mkuu
Tin namba mm ninayo nahtaj copy ya cheti cha tinIngia tcs.tra.go.tz utapata direction nzima..mradi tu uwe na namba ya nida.
Uliipataje. Kama ulipata kwa online unaweza print. Ila kama zile za kwenda kujaza fomu lazima uende ofisini.Tin namba mm ninayo nahtaj copy ya cheti cha tin
Nilichukua kipindi natafuta leseni 2016.Uliipataje. Kama ulipata kwa online unaweza print. Ila kama zile za kwenda kujaza fomu lazima uende ofisini.
tukutane TRA ofisini man.Nilichukua kipindi natafuta leseni 2016.
Tin namba mm ninayo nahtaj copy ya cheti cha tin
Hapo TRA ndipo wanapofeli.Wameshindwa kuupload taarifa za wateja wa zamani mtandaoni,mpaka tuende wote kule tukaweke foleni huko wakati issue ni kuprint tu cheti.Ni kweli mkuu,inaonekana ni wale wanaoregister online ndiyo wanaoweza kupata certificates zao online.nimejiregister,nimeambulia kupata account tuu, lakini siwezi pata certificate ,sababu tayari ninayo TIN niliyoipata manually.Uliipataje. Kama ulipata kwa online unaweza print. Ila kama zile za kwenda kujaza fomu lazima uende ofisini.