Kupata tunda ni akili tu

Kupata tunda ni akili tu

MtotoKautaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2018
Posts
373
Reaction score
895
Nawapa salamu wanaJF,

Leo nawapa story flani jinsi nilivopata tunda kwa kutumia akili ndogo tu with zero money cost. Kuna Binti mmoja anaitwa Angel ni binti anafanya kazi katika pharmacy.

Huyu Binti nilipofika maeneo haya kitaani niliambiwa kuwa anapenda sana pesa yani yeye pesa mbele kama Zuwena.

Nilichokifanya nilianza kutengeneza mazoea ya mbali ambayo yatalinda mipaka yani nisizoeane naye kupitiliza mpka akaniona wa kawaida.

Baada ya hapo niliomba namba yake nikawa namchek, sikupendelea sana kuchat ila nilikuwa navuta waya tunaongea.

Mchuchu nilikuwa najitahd sana kufilter maneno kabla ya kumtamkia na nilikuwa najiweka bize na mambo yangu sikutaka kumganda ma simu na ma texts. Kifupi lifestyle ilikuwa ni ya kihuni lakini ni classic.

Siku hiyo nikasema ngoja nimuite mchuchu aibuke geto japo nilikuwa bado sijamuapproach. Nilivomchek nikamwambia aibuke home kwasababu siku hiyo alikuwa off.

Nilivomwambia aibuke home akaniuliza aje kufanyaje. Nikamwambia aje anipe kampani maana nilikuwa pekeangu nyumba nzima so aje ili tupoteze potezea muda.

Binti akalipuka akasema "wewe sema lengo lako ni kusex. Nikamjibu kwani kuna shida? Akanambia shida ipo eti yeye ni mchumba wa mtu na anajiheshimu.

Nikamuliza kwahyo mimi sijiheahimu? Kabla hajanibu nikamwambia acha habari nyingi mimi nakuelewaga sana nahitaji uje tuongee zaidi.

Akanambia kwamba yeye anaamini kabisa kwamba hakutakuwa na mapenzi kati yangu na yeye kwani ananiona kabisa mimi ni muhuni na sitaweza kuishi na yeye kama mpenz wake kwa wakati huo.

Akanambia nimpe pesa aje tumalizane. Nikamuliza shingap akasema 70k. Nikamjibu kwamba mimi sinunuagi penzi na hiyo dhambi ya kununua penzi siitaki kwani itanifanya nionekane muhuni naa mnunuaji malaya. Na nikamalizia kwa kusema kwamba kama ni hivo basi tupotezee hiyo kitu na tubaki kama friends ty.

Haya maneno yalimchoma nikaona ananiuliza kama nipo home nikamjibu ndio. Akanambia anakuja chap, haikupita hata nusu saaa mtoto huyo nikala vyangu ikaisha kihivo.
 
IMG-20240623-WA1582.jpg
 
Lete picha yake, kuna pisi sio za kujisifu umekula bila gharama, huenda pisi yenyewe ilikua na ngunga wana wanaikataa ila wewe umepita nayo.

Kuna kale kamsemo kua, kuna pisi kitaa jamaa akipita nayo wana wanaua huyu mgeni.
 
Nawapa salamu wanaJF.....

Leo nawapa story flani jinsi nilivopata tunda kwa kutumia akili ndogo tu with zero money cost.
Kuna Binti mmoja anaitwa Angel ni binti anafanya kazi katika pharmacy.
Huyu Binti nilipofika maeneo haya kitaani niliambiwa kuwa anapenda sana pesa yani yeye pesa mbele kama Zuwena.

Nilichokifanya nilianza kutengeneza mazoea ya mbali ambayo yatalinda mipaka yani nisizoeane naye kupitiliza mpka akaniona wa kawaida.

Baada ya hapo niliomba namba yake nikawa namchek, sikupendelea sana kuchat ila nilikuwa navuta waya tunaongea.

Mchuchu nilikuwa najitahd sana kufilter maneno kabla ya kumtamkia na nilikuwa najiweka bize na mambo yangu sikutaka kumganda ma simu na ma texts. Kifupi lifestyle ilikuwa ni ya kihuni lakini ni classic.

Siku hiyo nikasema ngoja nimuite mchuchu aibuke geto japo nilikuwa bado sijamuapproach.
Nilivomchek nikamwambia aibuke home kwasababu siku hiyo alikuwa off.
Nilivomwambia aibuke home akaniuliza aje kufanyaje. Nikamwambia aje anipe kampani maana nilikuwa pekeangu nyumba nzima so aje ili tupoteze potezea muda.

Binti akalipuka akasema "wewe sema lengo lako ni kusex"
Nikamjibu kwani kuna shida?
Akanambia shida ipo eti yeye ni mchumba wa mtu na anajiheshimu.
Nikamuliza kwahyo mimi sijiheahimu? Kabla hajanibu nikamwambia acha habari nyingi mimi nakuelewaga sana nahitaji uje tuongee zaidi.
Akanambia kwamba yeye anaamini kabisa kwamba hakutakuwa na mapenzi kati yangu na yeye kwani ananiona kabisa mimi ni muhuni na sitaweza kuishi na yeye kama mpenz wake kwa wakati huo.

Akanambia nimpe pesa aje tumalizane. Nikamuliza shingap akasema 70k.
Nikamjibu kwamba mimi sinunuagi penzi na hiyo dhambi ya kununua penzi siitaki kwani itanifanya nionekane muhuni naa mnunuaji malaya. Na nikamalizia kwa kusema kwamba kama ni hivo basi tupotezee hiyo kitu na tubaki kama friends ty.

Haya maneno yalimchoma nikaona ananiuliza kama nipo home nikamjibu ndio.
Akanambia anakuja chap, haikupita hata nusu saaa mtoto huyo nikala vyangu ikaisha kihivo.
Imeandikwa ikimbieni zinaa uchafu kama huu hata kuandika mbele za Mungu ni kutafuta laana mwili wako ni hekalu la Mungu kwanini hamuogopi jehanum nyie wapumbavu
 
Ulimkuta tu na yeye ana nyege basi
 
Back
Top Bottom