Ngalikivembu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,959
- 876
Jakaya Mrisho Kikwete alipowahutubia wananchi wa Songea kwenye kampeni zake alisema watu wanaopata ukimwi ni kutokana na kiherehere chao.Ni kweli haya?Sio matusi kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya tena kila mwenye lake atamzulia JK iwe la kweli au la kuongezwa chumvi na ndimu.
Umesikia peke yako?
Haya tena kila mwenye lake atamzulia JK iwe la kweli au la kuongezwa chumvi na ndimu.
Umesikia peke yako?
hata mimi nilisikia,nayeye ni kiherehere chake au anafikiri hatujui
Ni mtazamo wake na ndio uwezo wake wa kufikiri umefikia hapo.
Alianza na ujauzito akamalizia na ukimwi.jamani siyo ukimwi alisema ujauzito wa wanafunzi