Kupata wachangiaji na likes nyingi JF

ezekeo

Member
Joined
Aug 27, 2022
Posts
63
Reaction score
158
Jamani nijuzeni mbinu ya kupata wachangiaji na likes nyingi jf endapo nitapost uzi wangu...tatamani kupata comment nyingi hata kumpita @rikboy kwenye ule uzi wake.

Nijuzeni jamani mimi ni mgeni naomba nipokelewe vyema
 
Andika yale mambo aliyoandika rikiboy utapata wachangiaji wengi mpaka wengine uwapunguze mwenyewe.
 
Jamani nijuzeni mbinu ya kupata wachangiaji na likes nyingi jf endapo nitapost uzi wangu...tatamani kupata comment nyingi hata kumpita @rikboy kwenye ule uzi wake.

Nijuzeni jamani mimi ni mgeni naomba nipokelewe vyema
Anzisha Uzi wa kuponda serikali au Andika Uzi wa kumponda SSH. 😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…