Kupatana.com mnaboa sana....

Tatizo siyo kupatana.com hata wanaoweka matangazo mule wazushi poa wapi syo wauzaji hadi wanunuzi!
Ninachokijua biashara za mtandaoni kuwepo wapigaji lazima watakuwepo tu!kikubwa wewe unayetaka bidhaa mule use makini tu
 
Basi nadhani hiyo business model ni kama ile ya Craigslist.com

Kibongo bongo bado sana aisee.
yeah,you re right,wako kama craiglist sio kama ebay,maana muuzaji na mnunuaji wanafanya biashara bila transaction kupitia kwao kupatana.com.Lkn inahitaji umakini sana maana dunia ya leo kila mtu n mpigaji of some form,niliwahi kuuza pc yangu humo na biashara ilienda smooth kabisa
 
Naagiza bidhaa zangu kupitia kaymu,jumia hawa jamaa wako poa sana hawana longolongo wengine siwaamini.
 
Kibaya zaidi mataperi washaingia hapo mm nilitapeliwa na dalali mmoja wa nyumba aliejitangaza ndani ya mtandao huo.
 
Kama kuna mtu alishawahi kujibiwa Email yake aje atoe udhibitisho hapa.
It took me almost a year, email kujibiwa nilikua nimeshasahau hata kama nilituma. A YEAR....si mchezo hawa jamaa wako nyuma sana
 
It took me almost a year, email kujibiwa nilikua nimeshasahau hata kama nilituma. A YEAR....si mchezo hawa jamaa wako nyuma sana
Biashara ya mtandao kibongo bongo hatuiwezi.
 
Kweli kabisa inaboa.kama biashara ya tangazo husika imeshafanyika then tangazo liondolewe kuepusha usumbufu.mimi kuna jamaa alikua anauza kuku nilipomtext akanijibu hovyo kabisa.eti wewe nani wakati biasha kaweka yeye mwenyewe.nilimshambulia kwa matusi ya kasi ya ajabu mpaka akatambua kwamba watu wanakua serious yeye analeta ujinga ujinga
 



Kupatana wamejaa matapeli jana kuna gari niliiona nikawatumia mail na hayo ndio majibu niliyopewa....

Hawataki uone gari wanataka hela kwanza....
Nimewasiliana na Kupatana wanasema hao ni matapeli na watawafungia.
 
Jamaa wameendelea na harakati zao muda huu wamenitumia mail tena na kujifanya Kupatana....

Kuweni makini sana na hawa jamaa


Hii ya mwisho wamenitumia na pdf file sijui ndio documents za mauzo ya gari...
 
The Boss kwa nia nzuri kabisa.
Fungua biashara kama hiyo. unajua matatizo ya mteja
Kwa hiyo utatekeleza Kama ipasavyo.
Kuna msemo "kama hulindi wateja wako mwengine atawaiba wote"
Kwa hiyo The Boss biashara hiyo
Kianzio Kuelewana.com
Hapa ni dili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…