Kupatana.com mnaboa sana....

Naona watu wataanza ku ignore matangazo ya kupatana
unakuta page mbili zote matangazo yana email tu na email feki
"Wengine ni watoto wa shule tu, wanapiga picha magari ya mama zao wanatuletea kupatana ukipiga simu uulize anakwambia ishauzwa afu week ijayo unaona tena gari ile ile kaweka tena"
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…