Izy_Name
JF-Expert Member
- Apr 9, 2020
- 772
- 1,733
Kwa siku za hivi karibuni mambo naona yanaenda ndivyo sivyo kwa upande SEO yaani unachokitafuta hukipati mpaka uzungukie google uandike jina la bidhaa halafu ndo link ikupeleke kupatana. Bila hivyo ni changamoto au labda ni kwa upande wangu tu.
Unaweza kuandika IPHONE kwenye search box zikaja Crown athlet na Viwanja dah sijui wana shida gani?
Unaweza kuandika IPHONE kwenye search box zikaja Crown athlet na Viwanja dah sijui wana shida gani?