Kwa siku za hivi karibuni mambo naona yanaenda ndivyo sivyo kwa upande SEO yaani unachokitafuta hukipati mpaka uzungukie google uandike jina la bidhaa halafu ndo link ikupeleke kupatana. Bila hivyo ni changamoto au labda ni kwa upande wangu tu.
Unaweza kuandika IPHONE kwenye search box zikaja Crown athlet na Viwanja dah sijui wana shida gani?
Zoom Tanzania walipoungana na Kupatana
Tatazo lilianzia hapo na hio template ya E-commerce wamecopy kuna site niliiona ila jina silikumbuki, site pekee ambayo haina mambo mengi ni JIJI