Kupatana

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Nimewaona hawa KUPATANA katika matangazo yao na nimeona baadhi ya vifaa.Naona ni prototype ya Alibaba lakini kwa hapa zaidi ni vitu vilivyotumika.
Kuna yoyote kati yetu amefanya biashara nao atuelimishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…