Kupatwa kwa CCM: Anzeni kuukubali ukweli mapema ili kuepuka tatizo la presha

Kupatwa kwa CCM: Anzeni kuukubali ukweli mapema ili kuepuka tatizo la presha

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Wajumbe mnasemaje? Mwaka huu, uchaguzi wa mwaka huu ni kweli kabisa dalili zipo wazi kuwa mwaka huu ni kupatwa kwa CCM.

Lissu tayari ameshashinda na kwa ujumla wananchi walio wengi wameshaishinda CCM.

Sasa, nasema sasa ni kujipanga kulinda ushindi, kura hata moja isipotee kusikojulikana.

CCM imetufanyia mengi sana mazuri lakini hakuna kisicho kuwa na mwisho, kuishi milele hakupo wacheni kukufuru kuwa mtatawala milele.

Anzeni kuukubali ukweli na mapema ili kuepuka tatizo la presha.
 
Lisu akiwa na uhakika wa kuzilinda kura zake basi atafanya vuzuri sana
Hivi walivyosema ukimaliza kupiga kura ni nyumbani walikuwa na maana gani?
 
CCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu huu
 
Back
Top Bottom