Kupatwa kwa Huddah: Azama kimapenzi kwa mchagga!

Sasa Jaman ivi huyo huddah ana wanaume wangapi ivi
 
Hahahaha ndo huyo dani lakin ka huddah ndo hukaelez kitu
 
Kumbe ndio huyu boya anasifa kinoma alipasua Champagne kama 3 hiv pale Elements na washkaji zake chupa ikaruka ikanichoma kidoleni nilikua pembeni nakula zang Heineken baridi, nilimtamani sema mabounsa walimsaidia 2 dadek zake"
 
Acha tamaa mrembo!
Avatar yako umenikumbusha mbali prof katika ubora wake siku moja kachacha kaenda penye booth ili ampigie simu jamaa yake amvunje kidogo mambo yakaingiliana prof akastukia dili jamaa anamuelekeza kuwa sheikh swalehe atakuja kuchukua hizo pesa baada ya swalaat jumaa akamtajia nyumba namba yake mtaa na jinsi atakavyo kuwa amevaa.
Prof akaenda kuazima kanzu na hagal na tasbihi ndefu kabla ya mshuko kawahi kavuta mkwanja wakati anatoka hatua chache kakutana na mtu kavaa kama yeye basi prof akasema kimoyo moyo nadhani huyu ndio sheikh swalehe mwenyewe.
 
Ila ka handsome ndo kama bwabwa sijui kwa nn wanaume wenye sura na ubwabwa lazma vihusike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…