Kupatwa kwa Huddah: Azama kimapenzi kwa mchagga!

Shauri yake, ushauri wa bure si kila mapenzi lazima uzame mengine unatakiwa kuelea tu juu kwa juu kwa mtindo wa buterfly
[emoji23][emoji23]loh wacha ahangaike na dunia umenichekesha sana aisee
 
Mchagha gani anaeshika hela kifala hivyo?mchagha makini hapigi picha amekumbatia shilingi anapiga picha yakuonyesha kile alichokifanya kupitia pesa.nyumba,biashara etc kama pesa hata matonya alizishika enzi za uhai wake.huyo babaake akafanye DNA taste maybe mkewe alipitiwa na msambaa au mdigo hizo siyo tabia za kichagha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…