Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya na uganda tuna share nao time zone.
Jua ni moja na mwezi ni mmoja,
iweje jua lipatwe kenya na uganda tu na sio tanzania?
Mababu wetu walisema kuwa kila sehemu ina jua lake na mwezi wake.
Nawaunga mkono mababu kwa sababu sayansi ya wazungu inatuibia.
du na mie nimechungulia kweli bwana thanx Ambassador
i hope CHRISPIN uliliona hili tukio!!.Wale mlioko wa Dar, tokka nje na chupa ya bia ya SERENGETI, ushuhudie kupatwa kwa jua ndio kunamalizikia malizikia!.