Kupatwa kwa Mancheter United

Kupatwa kwa Mancheter United

Mechi kama hizi ni hatari sana,...hazikawii kuvunja sheria za FIFA na kucheza Basketball kwenje uwanja wa football.....Nani anakumbuka zile 6? yale siyo matokeo ya footbaall, ni uvunjaji wa sheria za FIFA!
 
Endelea kujidanganya! Walete hao City tuwapige 2-0.

Manchester is red.
Nilikuwa mbali na simu ila vijana wangu walisikia maombi yako wakaja,na wamekuonyesha ulichokitaka yule anaepiga pass 200 (Pogba) na Hull City nadhani Leo sijui kapatwa nae kama yule jamaa WA Mbeya?
 
Leo nahisi hili tukio la Uholanzi ni maandalizi ya kupatwa kwa Mwezi
 
Kama naiona Man UTD wakianza bleed yao,....once/month....leo kaingia mwezini tena.
 
Pilipili hoho watu wanakulaga tu maana hamna namna si haliwashi # Pogba n Co.
 
Raha ya kutumia condom kwenye mgegedo sharti utumie paketi zote tatu....Hongera Watford kwa kumkaza Man U bao tatu.
 
Back
Top Bottom