Kupatwa kwa Mwezi tarehe 26/05/2022

Watu wa Dar leteni update na picha..
 
Naomba radhi kwa mkanganyiko huu wa tarehe. Ukweli ni kwamba tukio hilo ni la tarehe 16/05/2022. Niwaombe Administrator wabadilishe Hilo.
 
Tarehe za heading na content haziendani shekheee. Au mimi macho yangu hayaoni?

Hebu soma, hariri na uliweke sawa hili andishi lako.
 
Kwani leo tarehe ngapi Jamani!!
 
Tarehe za heading na content haziendani shekheee. Au mimi macho yangu hayaoni?

Hebu soma, hariri na uliweke sawa hili andishi lako.
Upo sahihi kabisa. Niliomba radhi kwa kosa Hilo na kuwataka moderator wafanye masahihisho kwenye hiyo tarehe. Tukio lilitokea tarehe 16/5/2022. Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…