Mkuu nipe mchakato. Dah naumia balaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu ina maana hujui michakato ya jinsi ya kupata mwanamke?, mchakato uliotumia kuwapata ulionao ndio tumia huo huoWakuu ngoja nifunguke leo kimalavidavi.
Kuna msanii wa Uganda kwa jina Juliana Kanyomozi, kusema kweli nampenda sana huyu dada. Laiti ningekuwa na uwezo na nafasi stahili, ningemuomba nimuoe.
Wakuu msinichukulie tofauti, ni mapenzi yangu kwa huyo dada. Wakuu nipeni mchakato nifanyeje awe wangu wa maisha. Dah mapenzi haya
Akishindwa huko mwambie aje kwako...Kamtongoze tu. Unauliza ufanyeje wakati procedure inajulikana
Kwanini mkuuRoho inaniuma
NtawekaWeka picha!
Kama picha huna,auko seriousNtaweka
Tumeshauriwa tuache powder tutumie bangiAcha bangi