Kumbe jina ninalotumia ni maarufu sana.Mi nimelipenda kwani tuna haya madini mengi sana ndio maana nalitumia
Ngoja mi nijitose kwakoHapana mi sitaki mtu anayeuliza jinsi ya kumtokea mwanamke badala ya kuwa "mwanaume" na kumtolea "mwanamke"