Kupatwa kwa snura

mbona wajaachiana mate hapo naona midomo hapo pembeni kwa ishara ya kumbatio na busu basi msanii mwenzao alipiga picha nakuitupia mtandaoni au yey mwenyew snura aliamua kufanya kiki
Ni yeye mwenyewe snura aliipost cjui kiki au VP ila kwa Ben pol hajapost chochote
 
Kumbe huyu binti hana adabu kiasi hiki
 
Aiseeee huo mgongo wa Snura hatari tupu...Kweli chura ananesa nesa
 
Aache unafiki Mbona mwenzake Shishi yeye kaweka wazi
 
Pitia profile yako....katika uliowahi pita nao hautakuwa tofauti na Snura!inawezekana mkatofautiana kwenye pozi na publicity.....kwamba yeye kaamua iweka hadharani
 
Pitia profile yako....katika uliowahi pita nao hautakuwa tofauti na Snura!inawezekana mkatofautiana kwenye pozi na publicity.....kwamba yeye kaamua iweka hadharani
We ndo hujaelewa nilichoandika soma tena kwa makini ukielewa ndo urudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…